
Jipya ni kwamba kwenye mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni mwigizaji na mchekeshaji Martin Lawrence aliulizwa kuhusu mipango ya Bad Boys 3, jamaa alijibu kuwa “Amesha zungumza na mwongozaji wa filamu ya Bad Boys 3 na wanamalizia kuandika script na tarifa rasmi itatoka hivi karibuni ” Pia kuhusu Will Smith kuwepo kwenye filamu ya Bad Boys 3, Martin hakuweza kuwa na jibu kamili sababu ni mapema kusema hayo.
No comments:
Post a Comment