
Lil Wayne ametoa Official Cover La Album ya Carter V ambalo ni kama muendelezo wa Cover zilizopita zote zinamwonyesha Lil Wayne akiwa mtoto, Wayne anasema mama yake alikuwa Suprised sana kuona picha yake alivyokuwa kijana na mwanae, Hii ndio picha itakayotumika kwenye cover la Carter V

No comments:
Post a Comment