Monday, 18 August 2014

Picha,Shabiki Wa Nicki Minaj Alichofanya Kichwani Kwake Kama Mapenzi Kwa Wimbo Anaconda.


Huyu jamaa anastahili kuitwa Super Fan yani shabiki wa ukweli, amechukua muda na wake kwa kinyozi na gharama za kumlipa ili amnyoe nywele zake kwa style ya picha ya Nicki Minaj inayonekana kwenye cover la wimbo wake ‘Anaconda’.
katy-perry-nicki-minaj__oPtshabiki

No comments:

Post a Comment