Kuwaombea Wasanii Waliotutoka.
Baadhi ya waigizaji wa filamu Tanzania walikuja pamoja leo Jumamosi ya August 16 2014 pale Karimjee Hall kwa sala ya pamoja ya kuwaombea ndugu na marafiki zao katika kazi waliotutoka. Steve Nyerere ni miongoni mwa wasanii walioshiriki zaidi kuanda jambo hili zuri kwa wasanii wenzao.
No comments:
Post a Comment