Ni juma lililoanza na simanzi kwa raia wa Burundi kufwatia mauaji ya watawa watatu raia wa Italia katika wilaya ya Kamenge nchini humo, huku polisi ikikiri kumkamata mtuhumiwa wa mauaji, nchini Somalia shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu
la human rights watchs ilitoa ripoti yake ikiwatuhumu wanajeshi wa umoja wa Afrika wa kulinda amani huko Somalia AMISOM kuhusika na vitendo vya kuwarubuni wanawake kuwa kuwapa chakula ili kufanya nao ngono, wakati nchini DRCongoTume ya umoja wa mataifa nchini DRC kuelezea kutamatisha maandalizi ya ujenzi wa kambi eneo watakakopelekwa wapiganaji wa FDRL huko Kisangani Province oriental.
Na Katika uga wa kimataifa, nchi za kiarabu kuunga mkono juhudi za Marekani katika kukabiliana na ugaidi katika mashariki ya kati.

No comments:
Post a Comment