JajiThokozile Masipaal anayeendasha kesi ya Oscar amesema mwanariadha huyu alimmuampenzi wake Reeva Steenkamp kwa bahati mbaya na upande wa mshtaka umeshindwa kuthibitisha Oscar alikusudia kuua.
Oscar amepatikana na kosa la kutumia silaha yake visivyo kwenye mgahawa fulani mjini Johannesburg. Sababu atahukumiwa kwa kosa la kuua bila kukusudia atakaa jela kwa muda mfupi zaidi na sheria za Afrika Kusini wanasema sio zaidi ya miaka 15
No comments:
Post a Comment