Rwanda, Paul Kagame
(kushoto) na rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni (kulia).
Reuters
Na kennedyrutta
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangaziajuu ya hati za
kusafiria kwa raia wa afrika ya mashariki. Nchi za Kenya, Rwanda na
Uganda zimekubaliana kutumia vitambulisho vya uraia kutoka nchi moja
hadi nyingine baina ya nchi hizo. Je, kuna changamoto gani katika
utekelezwaji wa hatua hiyo? Kujua mengi zaidi, sikiliza makala haya.
No comments:
Post a Comment