Burundi: Pierre Nkurunziza awonya baadhi ya wanasiasa
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza.
REUTERS/Stringer
Na kennedyrutta
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, jumanne wiki hii,
ametimiza miaka 4 tangu achaguliwe kuiongoza Burundi kwa muhula wa pili.
Katika hotuba yake kwa taifa, Pierre Nkurunziza, amewataka wananchi
kujiandaa kwa uchaguzi ujao na kuwatahadharisha wale wanaokusudia
kupotosha uchaguzi huo.
No comments:
Post a Comment