Mwigizaji Lord Richard [Babu Wa Jurassic Park] Afariki Dunia
Mshindiwa wa tuzo mbili za Oscar mwigizaji Lord Richard Attenborough
amefariki Uingereza akiwa na miaka 90. Richard ulimuona kwenye filamu
kubwa duniani kama The Great Escape na Jurassic Park. Richard amekuwa
mwongozaji wa filamu wa muda mrefu na filamu aliyoongoza ambayo ilikuwa
kubwa sana ni Gandhi ambayo ilimpa tuzo mbili za Oscar kama mtayarishaji
bora mwaka 1983 na ni filamu bora iliyorekodiwa ambayo pia ni Gandhi.

Hapa ilikuwa kwenye Jurassic Park part 1

Richard
amehusika kwenye filamu nyingine kubwa kama Doctor Doolittle , The Sand
Pebbles, A Chorus Line na Cry Freedom iliyohusu vita dhidi ya apartheid
na maisha ya mwanaharakati Steve Biko huko Afrika Kusini.
No comments:
Post a Comment